Kaka shujaa Bwana Mohammad Dhaif Mkuu wa tawi la kijeshi la Hamas Assalamu alaikum Sisi ni kundi la wanafunzi wa shule ya Kiislamu katika seminari ya Qom, tunakupa pole wewe pamoja ndugu na dada zetu wote wa Kipalestina kwa kuuawa shahidi ndugu, wazee na jamaa zao huko Gaza, ambao nafasi yao kwetu ni sawa na sehemu ya miili yetu. Tangu tulipoona subira za watu mashujaa wa Gaza katika matukio ya kuwapoteza watoto wao wasio na hatia, tumekuwa na matumaini makubwa zaidi juu ya huruma za Mungu ndani ya wakati huu kuliko wakati mwingine wowote. Rehema ambazo, pamoja na kushuka kwake kama ni pozo, pia zitafuta doa chafu la Israeli kutoka kwenye ramani ya Asia ya Magharibi inshaa Allahu. Kaka yake Mujahid Mohammad Dhaif Tumekuwa tukingojea fursa kama hii kwa miaka mingi, ili tuwe bega kwa bega pamoja nawe, katika kuiporomosha nyumba ya dhuluma ya Wazayuni juu ya vichwa vyao. Sasa, kwa uvamizi wako huu mkubwa, wakati umefika wa kutimiza dhamira hii umefika. Tumedhamiria kuungana nawe nyuma ya ngomeni ya madhalimu, mara tu baada ya kuondoka kwa vikwazo na vizuizi mbele yetu. Twatumai kukuona nawe pamoja na vipenzi wetu vijana wa Kipalestina. فَإِذا دَخَلْتُمُوهُ فَإِنَّكُمْ غالِبُونَ (Na mkiingia mjini mwao bila shaka mtawashinda) Umoja wahubiri wa Ashabu al-Sahib Alaihi al-Salam.